Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni katili 😂Umekosa ata wamama wa chama?
Umekosa ata wamama wa chama?
Wandugu mpaka mtu anaamua kuweka na mawasiliano yake, msimfanyie hivi.. Maisha na mahusiano havina mjanja wala baunsa! Hatujui kapitia nini nasi hatujui tutapitia nini kesho yetu itakapowadia...Umetoka jela?
Awe mpole tu na wala asipaniki.. Wenye uhitaji watamcheki kimyakimya... Hao wengine achukulie tu ni kama sehemu ya kupiga soga kijiweni..! Ata enjoy!Humu utatafuta hadi uone huu mtandao mmbaya tena watakuja vibwanga hadi ujutie kutoa hii post
Wandugu mpaka mtu anaamua kuweka na mawasiliano yake, msimfanyie hivi.. Maisha na mahusiano havina mjanja wala baunsa! Hatujui kapitia nini nasi hatujui tutapitia nini kesho yetu itakapowadia...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2984]Vitu vingine ni kujiendekeza tu. Mtu mzima anakuja kutafuta rafiki humu kwani anaishi porini? Hawa walioko humu sindio hao hao waliopo mitaani, ofisini, kanisani, nk yeye hawaoni? Kama amewashindwa hao ambao anawajua, hawa asiowajua ndio atawaweza? Au anadhani wa humu wanatoka mbinguni?
hahahaAu anadhani wa humu wanatoka mbinguni?