Natafuta Rafiki wa kike.

Natafuta Rafiki wa kike.

Deleted

New Member
Joined
Jun 23, 2021
Posts
4
Reaction score
6
Ni kijana wenu kabisa.Asiyekuwa na mambo mengi.
Sitaweka sana Information zangu zote naweka kwa ufupi.

Umri 22+
Mwanachuo.
Makazi;Mwanza

Natafuta Rafiki wakike na wakubadirishana naye mawazo.
Kama uko interested njoo Pm.

Mwanamke yoyote yule anaruhusiwa kuja Pm.
 
Back
Top Bottom