Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Joined
Nov 10, 2021
Posts
9
Reaction score
5
Natafuta rafiki
Sifa:awe mwanamke, umri 18-99
Awe muislamu
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe mweupe, awe mnene au mwembamba kiasu
Asiwe mrefu wala. Mfupi
Kabila: Lolote
Awe mwajiriwa

WASIFU WANGU
Sio mnene sana wala mwembamba sana
Sio mrefu sana wala mfupi sana
Sio mweusi sana wala mweupe
Umri : 42
Kazi: mwajiriwa
OK KAMA UKO SERIOUS nicheck
Inbox
 
Back
Top Bottom