Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Joined
Oct 2, 2020
Posts
41
Reaction score
62
Natafuta rafiki wa kike mwenye maono na hamu ya mafanikio.
Habari wakuu,mimi ni kijana mwenye elimu ya kidato cha sita.Umri wangu ni miaka 30,mkazi wa Dar es salaam.

Natafuta rafiki wa kike mwenye umri wa miaka 20-30,preferably mkazi wa Dar es salaam ambaye atakua na hamu na maono ya kufikia mafanikio ya kimaisha kwa ajili ya chatting na kubadilishana mawazo.Sichagui dini wala kabila.

Aliye serious ani-pm .Naomba kuwasilisha wakuu.
 
Miaka 30 unajiita kijana?
Miaka 30 huna girlfriend wa uhakika unamtafutia huku? Utakua umepiga punyeto Sana kwenye maisha yako.
 
Back
Top Bottom