mtabe kila sekta 2009
Member
- Oct 2, 2020
- 41
- 62
Natafuta rafiki wa kike mwenye maono na hamu ya mafanikio.
Habari wakuu,mimi ni kijana mwenye elimu ya kidato cha sita.Umri wangu ni miaka 30,mkazi wa Dar es salaam.
Natafuta rafiki wa kike mwenye umri wa miaka 20-30,preferably mkazi wa Dar es salaam ambaye atakua na hamu na maono ya kufikia mafanikio ya kimaisha kwa ajili ya chatting na kubadilishana mawazo.Sichagui dini wala kabila.
Aliye serious ani-pm .Naomba kuwasilisha wakuu.