Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
HABARI ZENU WANA JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26 natafuta rafiki wa kike sifa zangu 1.mrefu 2.white 3. Nina kifua kipana 4 .nimejazia 5. Siyo bausa 6. Mpole 8. Mcheshi 9. Sijui kukasirika 10.smart boy . Ukiniona mwenyewe utanikubali , nataka rafiki wa kike mwenye sifa zozote
 
Ebu weka picha yako nikuone,halafu unasema hujui kukasirika mbona mpaka hapo naona ushajifanya mwema sana? kuna binadamu asie kasirika?
 
HABARI ZENU WANA JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26 natafuta rafiki wa kike sifa zangu 1.mrefu 2.white 3. Nina kifua kipana 4 .nimejazia 5. Siyo bausa 6. Mpole 8. Mcheshi 9. Sijui kukasirika 10.smart boy . Ukiniona mwenyewe utanikubali , nataka rafiki wa kike mwenye sifa zozote
picha.................
 
umejazia nn?
hlf hivi unaweza kuwa mpole na mcheshi kwa pamoja?,,,,,stuka!
 
HABARI ZENU WANA JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26 natafuta rafiki wa kike sifa zangu 1.mrefu 2.white 3. Nina kifua kipana 4 .nimejazia 5. Siyo bausa 6. Mpole 8. Mcheshi 9. Sijui kukasirika 10.smart boy . Ukiniona mwenyewe utanikubali , nataka rafiki wa kike mwenye sifa zozote

kwenye rangi hapo ni maeneo gani hasa?
 
hahahaaaa mtaani kwenu hawapo???
haya endelea kutafuta hadi upate
 
Jamani wadada wa Jf mko wapi? Changamkieni tenda hilo, JAMAA KAJAZIA SIO BAUNSA!!
 
Je umejazia tumboni, makalio, au kila sehemu. Maana ukisema umejazia kila sehemu utakuwa mgonjwa, na ukisema umejazia tumboni kifupi unakitambi. Toa maelezo vizuri. vilevile kapicha tunataka tukaone.
 
Mhhhh...na wewe unataka kapicha kwani wewe mdada????!!!...........😛hoto:
 
Je umejazia tumboni, makalio, au kila sehemu. Maana ukisema umejazia kila sehemu utakuwa mgonjwa, na ukisema umejazia tumboni kifupi unakitambi. Toa maelezo vizuri. vilevile kapicha tunataka tukaone.
mwili wa mazoezi
 
Back
Top Bottom