"Mara nyingi watu wenye miji yao, hupenda kuingia jukwaa hili kwa ajiri ya kuumiza walio kwenye procces ya kutafuta wachumba,
wewe umeoa au umeolewa huku unatafuta nini..! siyo kama ubulula na kutojielewa unafanya nn?,
kama vp? huku kuna tution ya bure ya kufundisha namna ya kutumia hili jukwaa.
kila la kheri kaka yangu na amini kwamba utapata mke mwema kutka kwa Mungu.