Natafuta Rafiki wa kike.

Natafuta Rafiki wa kike.

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Habari wakuu, Natafuta rafiki wa kike ambaye tutakuwa marafiki then twende level ya uchumba na marriage.nko serious na nina dhamira toka moyoni.
Sifa
- awe mcha Mungu
- miaka 28 and above.
- kiwango cha elimu kuanzia first degree ,masters or Phd
- mkazi wa dar es salaam.
-awe anajishughulisha either kuajiriwa au mjasiriamali.
If uko interested njoo PM.
 
Mmh! Tulio nje ya dasalama ndo tumeikosa hiyo. Haya bhana all the best.
 
Back
Top Bottom