Natafuta rafiki wa kiume umri 45-65

Natafuta rafiki wa kiume umri 45-65

Mimi ni mwanamke umri miaka 40.. Nina watoto..nahitaji kampani ya mwanaume alie single... Ambae aliachwa na mke au alifiwa, au aliacha mwanamke kwa sababu isiyoweza kuvumilika..awe anajiheshimu..awe mtulivu na kwenye maendeleo na asiwe tegemezi
NI PM PSE
 
Asante umenipata tafadhali ni pm

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom