Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Habari. Natafuta rafiki wa kiume (awe na miaka 32 na kuendelea) kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Mimi ni wakike miaka yangu 32. Aliyetayari PM tafadhali
Naomba kuwa rafiki yako mwema Almas
 
Instructions tatizo kubwa Sana. Walio interested waende PM.
 
Bazazi anahitaji kuwa na rafiki wa kike aliye Ndito. Antenna ipo?
Nataka kujua kwani urafiki na Ndito ni sawa na kugeuza muwa kuwa mkongojo. Tuelezane mapema kabisa yale yanayoweza kujiri

Bazazi ni Bazazi!
 
Weka cv zako kwanza nisije omba urafiki kumbe nachat na kil.za
 
Back
Top Bottom