Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Habari. Natafuta rafiki wa kiume (awe na miaka 32 na kuendelea) kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Mimi ni wakike miaka yangu 32. Aliyetayari PM tafadhali

Umenikumbusha enzi za mwalimu ukitaka urafiki na mtu unamwandikia barua ya kumwomba urafiki nayeye anakujibu.

Basi kwakua nimekumbuka enzi hizo naomba nikujibu kwamba ombi lako limekubaliwa kwangu
 
Ni nini hasa unachotafuta kwa rafiki wa umri huo.? Naamini mtu wa miaka 32 anaweza akawa na akili ya mtu wa miaka 20 kadhalika wa miaka 20 akawa na akili ya miaka 32. Ni nn hasa unataka be honest
 
Back
Top Bottom