Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

wewe hutaki vigezo vya elimu awe na degree ngap? na urefu na weupe maana ndo vgezo vyenu hvo
 
Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
Nipo hapa toto la kichaga wala usiangaike kutafuta tena nichek 0782049595
 
Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
Sifa zote ninazo njoo pm chap....
 
Hongera sana kuwa na mawazo yaliyofunguka Mimi Nami nataka watu wa aina yako.Mimi Nina mke na watoto ila naweza kukufarij fani yangu nimesomea sayansi ya Jamii nimeajiliwa ni musukuma wa Bunda Mara nafanyia kazi Busega Simiyu mkoa mpya namba zangu ni 0766940499 karibu sana
 
Dah mkuu umekamia sana.
 
Mkuu naona haja yako kujiongezea Mawazo zaidi na pia umjumlishe na Mkaka uliyekutana nae Jamii Forum.
 
Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
Nipo usijali
 
Unapatikana wapi?
 
Vyuma nini mbona mipost ya kutafuta mabwana imekazana humu..??
 
Back
Top Bottom