Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Faith21

Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
19
Reaction score
83
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM
 
Kazi imeanza! Ila jitaidi muda unawo unaweza kuyajenga. Hawa watoto wa mwaka 2000 wanawaharibia Sana na tabia zao za kuwakataa vijana wenzao.
 
Umeshanipata baby.
Habari za majukumu, naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake ,awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40. Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati. Njoo DM
 
Maombi ya rafiki lakini description za rafiki atakiwaye zimekaa kimchumbamchumba hivi..!!
 
Miaka 29 wenzio wana watoto wawili wawili we ndo kwanza unatafuta rafiki. Kwa umri huo ulipaswa kuwa na marafiki 3 ambao ni mumeo na watoto wako 2.

Jua limezama pole sana, tafuta mume wa mtu jibanze au tafuta mstaafu ule nae pension.
 
Back
Top Bottom