Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Kazi imeanza! Ila jitaidi muda unawo unaweza kuyajenga.
Hawa watoto wa mwaka 2000 wanawaharibia Sana na tabia zao za kuwakataa vijana wenzao.
Duh, kumbe mbili triple zero nao wako sokoni saivi!
 
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM
Hadi urafiki unaweka kigezo cha dini? Funguka mama
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hili jibu lako limefanya nicheke sana, anyway njoo PM
Mimi ndio nimecheka mpaka basi sio kwa Hilo jibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119]
 
Binti nyodoz afu wa hivi huwa wanaliwaga vizuri maana wana nyegez tamu.🙅🙅🙅
 
Njoo DM wangu, njoo! I am 36 single, self employed running a microfinance.
 
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM
Huwezi kumpata kwani mcha Mungu hawezi kutaka urafiki bali uchumba na ndoa. Je wewe unamuogopa Mungu na bado unataka upate rafiki na si mume?
 
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM
Vp dada ushampta??.... If no, allow me to come to ur pm plz
 
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM
Kijana unataka wazee
 
Karibu🙄
 
Karibu pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom