Natafuta rafiki wa kiume

Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Kama una sifa za kuitwa wife material! Na pia sifa nyingine za ziada kama zile za uzuri wa tabia, sura na umbo! Basi usiendelee kupoteza muda wako kwa hao Mabaharia.

Njoo pm tuyajenge, halafu mwakani uvae shela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…