zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mmh wewe mbon hujaweka wazi hapo kwenye <()>Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Huo urafiki una utaka upo kimaslahi sana
"Awe amesom.ea afya"-kwann?
Kigezo cha umri nimefaulu
Kigezo cha kutooa nacho nimefaulu
Kasoro kigezo cha kusoma Afya tu,
maana mimi nilisomea mambo ya kibenki na sasa nimeajiriwa pale BOT na mshahara wangu ni around 12M afu na miradi kibao hapa mjini
Kwakua umeweka vigezo vyako, basi acha ishinfikane maana nami naheshimu uchaguzi wako
Ila sometimes uwe unaangalia
Nimecheka sana khaaa BOT ya nyokooohKigezo cha umri nimefaulu
Kigezo cha kutooa nacho nimefaulu
Kasoro kigezo cha kusoma Afya tu,
maana mimi nilisomea mambo ya kibenki na sasa nimeajiriwa pale BOT na mshahara wangu ni around 12M afu na miradi kibao hapa mjini
Kwakua umeweka vigezo vyako, basi acha ishinfikane maana nami naheshimu uchaguzi wako
Ila sometimes uwe unaangalia
🤣🤣🤣🤣🤣 Sipend marafk ambao mishahara yao inasoma kuanzia namba 7 😃Kigezo cha umri nimefaulu
Kigezo cha kutooa nacho nimefaulu
Kasoro kigezo cha kusoma Afya tu,
maana mimi nilisomea mambo ya kibenki na sasa nimeajiriwa pale BOT na mshahara wangu ni around 12M afu na miradi kibao hapa mjini
Kwakua umeweka vigezo vyako, basi acha ishinfikane maana nami naheshimu uchaguzi wako
Ila sometimes uwe unaangalia
Here we go again with tall dark and handsome....jamani hao sio waoaji watawagegeda tuuu na kuwaacha. Sie andunje ndio waoaji wenyewe na show za kibabe unapataNina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Nataka rafiki(kaka) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Here we go again with tall dark and handsome....jamani hao sio waoaji watawagegeda tuuu na kuwaacha. Sie andunje ndio waoaji wenyewe na show za kibabe unapata
Wee umewaambukiza warembo wa jjf wote wanataka tal dark and handsome sasa
Sasa rafiki mpaka awe tall dark and handsome?Nataka rafiki(kaka) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Handsome sijasema 😢Sasa rafiki mpaka awe tall dark and handsome?
Wee ulionaga wapi tall dark and ugly? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Handsome sijasema 😢
Wako mbna 🤣🤣🤣🤣Wee ulionaga wapi tall dark and ugly? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mm nimesoma HR ukimkosa wa afya nifikilie nipo iringa nakusubiria.Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Ukinionyesha mmoja nakupa lakiWako mbna 🤣🤣🤣🤣
Kila la kheriiiNina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Hatimaye umetoa duku!😂😂😂🙌wanawake mnawang’ang’aniaga sana Madaktari wakati mburura tu hao jamaa, no offense
Kuna siku nilienda training flan kuna huyo supervisor kidogo utaskia “kuweni systematic kama madaktari” mara kuweni funny kama oncologist flan... I was like wtf.leo na nakutana nayo tenaHatimaye umetoa duku!😂😂😂🙌