Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Mmh wewe mbon hujaweka wazi hapo kwenye <()>
 
Kigezo cha umri nimefaulu

Kigezo cha kutooa nacho nimefaulu

Kasoro kigezo cha kusoma Afya tu,

maana mimi nilisomea mambo ya kibenki na sasa nimeajiriwa pale BOT na mshahara wangu ni around 12M afu na miradi kibao hapa mjini

Kwakua umeweka vigezo vyako, basi acha ishindikane maana nami naheshimu uchaguzi wako

Ila sometimes uwe unaangalia
 
Kigezo cha umri nimefaulu

Kigezo cha kutooa nacho nimefaulu

Kasoro kigezo cha kusoma Afya tu,

maana mimi nilisomea mambo ya kibenki na sasa nimeajiriwa pale BOT na mshahara wangu ni around 12M afu na miradi kibao hapa mjini

Kwakua umeweka vigezo vyako, basi acha ishinfikane maana nami naheshimu uchaguzi wako

Nimecheka sana khaaa BOT ya nyokoooh
 
Sijui
Kigezo cha umri nimefaulu

Kigezo cha kutooa nacho nimefaulu

Kasoro kigezo cha kusoma Afya tu,

maana mimi nilisomea mambo ya kibenki na sasa nimeajiriwa pale BOT na mshahara wangu ni around 12M afu na miradi kibao hapa mjini

Kwakua umeweka vigezo vyako, basi acha ishinfikane maana nami naheshimu uchaguzi wako

Ila sometimes uwe unaangalia
🤣🤣🤣🤣🤣 Sipend marafk ambao mishahara yao inasoma kuanzia namba 7 😃
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Here we go again with tall dark and handsome....jamani hao sio waoaji watawagegeda tuuu na kuwaacha. Sie andunje ndio waoaji wenyewe na show za kibabe unapata
 
Here we go again with tall dark and handsome....jamani hao sio waoaji watawagegeda tuuu na kuwaacha. Sie andunje ndio waoaji wenyewe na show za kibabe unapata
Nataka rafiki(kaka) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Mm nimesoma HR ukimkosa wa afya nifikilie nipo iringa nakusubiria.
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Kila la kheriii
 
wanawake mnawang’ang’aniaga sana Madaktari wakati mburura tu hao jamaa, no offense
 
Hatimaye umetoa duku!😂😂😂🙌
Kuna siku nilienda training flan kuna huyo supervisor kidogo utaskia “kuweni systematic kama madaktari” mara kuweni funny kama oncologist flan... I was like wtf.leo na nakutana nayo tena
 
Back
Top Bottom