Aisee....Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29
🤣🤣Mnakujaga hv alaf tukiwafata PM mnarudi kutufungulia Uzi tena wa kutunanga
Watoto kuanzia 35 kushuka hamuhitajiki[emoji23]Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.[emoji116]
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA[emoji116].
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Watoto mmepigwa biti kali msisumbueMimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Hizi hasira siyo bure. Lazima umri utakuwa tu umegoma kabisa kufikia miaka 38, inayotakiwa na Uwa zuri 🌹Sifa zote hizo wewe unazo au unataka tu mwenzio ndo awe nazo. Elimu yenyewe umesema una ya kawaida, umeshindwa kuweka wazi. Hapo unataka sifa kibao za mwanaume. Nyie ndio mna zeeka bila kuolewa kwa kujifanya kuwa selective. Sifa ulizoorodhesha utazipata kwa mpenzi sio mume wa maisha. Jiangalie umri wako sio haba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaSawa vijana tuachieni uwanja wazee wenu nasi tukumbukie ya kale.
Karibu PM binti ule mema ya nchi na ya mapenzi.
Sifa zangu ni mstaafu nakula pensheni kwa sasa,elimu na exposure ya kutosha sana.
Mkuu yeye ndiye anayejua mahitaji yake na ndo maana kaweka vigezo vyake. Wenye vigezo nendeni pm ukikuta sio choice yako basi unachukua ustaarabu mwingine!Sifa zote hizo wewe unazo au unataka tu mwenzio ndo awe nazo. Elimu yenyewe umesema una ya kawaida, umeshindwa kuweka wazi. Hapo unataka sifa kibao za mwanaume. Nyie ndio mna zeeka bila kuolewa kwa kujifanya kuwa selective. Sifa ulizoorodhesha utazipata kwa mpenzi sio mume wa maisha. Jiangalie umri wako sio haba.
Hata yeye akiweza aje tu PM hakuna gharama anazolipa!Si amesema nyie ndio muende pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Hatimaye na sisi wazee tumekumbukwa. Uwa zuri, huwezi hata kuamini! Tangu niliposoma hayo maelezo yako hapo juu; nikinywa tu maji, basi nakuona kwenye glass eti ukiwa umetabasamu[emoji3059]!!
Halafu ninavyopenda sasa wanawake weupe! Yaani kama nina vinasaba vya kisukuma!! [emoji56]
Imagine!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto kuanzia 35 kushuka hamuhitajiki[emoji23]
Mmh aisée.npo na 37 na Siku120 vp nawezza kuja pmMimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.[emoji116]
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA[emoji116].
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.