Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Ahhh ndio huko huko tu unaelekea ..anyway...sasa mnakosaje hata marafiki??
Mfanya biashara wa namna gani wewe unatafuta marafiki kwenye social networks ..unafanyaje sasa hizo biashara!?
Au hazihusishi interaction na watu?
Kama huna vigezo usihangaike kunichunguza Sanaa kwa maswali,naishi maisha nayopenda siishi maisha ya mtu anayotaka.
 
Kama huna vigezo usihangaike kunichunguza Sanaa kwa maswali,naishi maisha nayopenda siishi maisha ya mtu anayotaka.
Ofcz mi vigezo sina na maisha yako uko huru kuishi utakavyo.
Sema najaribu kuwafikirisha wengine maana binafsi hata kama ningekua na vigezo nisingepoteza huo muda wa kucheza mchezo wa kuku kutupiwa punje za mahindi
 
Asa kumbe huna vigezo siupite ivi👉👉
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Nimekidhi vigezo vyote isipokuwa kwenye kujitegemea. bado naishi kwa baba na mama ila najichanga changa nihame. ila ni mchapakazi kwa vile umesema ni mfanyabiashara basi nitasimamia biahara yetu wakati wewe unapumzika tu. Umri wangu miaka 48.
 
😂😂😂😂 biashara ya nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom