Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Sawa Mkuu umu wengi naona hua ni furahisha genge tu ingawa wapoKesho nitaanza kuhariri Post za huyu anaetaka rafiki wa kiume zote halafu nitajua kama anataka
1. Rafiki
2. Attention
3. Recognition kwa sababu bado ni new come au amefanya usajili wa Id nyingine
4. Mume
Na mengineyo kesho nitakuja na report yote
Aiseee yamekuwa hayo mkuuππKesho nitaanza kuhariri Post za huyu anaetaka rafiki wa kiume zote halafu nitajua kama anataka
1. Rafiki
2. Attention
3. Recognition kwa sababu bado ni new come au amefanya usajili wa Id nyingine
4. Mume
Na mengineyo kesho nitakuja na report yote
Sasa humu JF hao wanaopiga kelele si Watoto wa Chuo tu na mabando ya bure? πHata nyinyi pia kwa sasa hampendi kuingia kwenye mahusiano na Mwanamke ombaomba ushahidi mada nyingi humu jukwaani mkilalamika.
Kifupi hakuna binadamu anayependa shida si jinsia mke wala mme πSasa humu JF hao wanaopiga kelele si Watoto wa Chuo tu na mabando ya bure? π
Asanteh mkuu mana kanizingua PM.Kesho nitaanza kuhariri Post za huyu anaetaka rafiki wa kiume zote halafu nitajua kama anataka
1. Rafiki
2. Attention
3. Recognition kwa sababu bado ni new come au amefanya usajili wa Id nyingine
4. Mume
Na mengineyo kesho nitakuja na report yote
Ubongo wa binadamu ndivyo ulivyoumbwa kuwaza mazuri tu. Hakuna mtu anayewaza kuwa na mateso au kuwa na shida na ndio maana ubongo huwa unakutuma ufanye hiki na kile ili upate kileKifupi hakuna binadamu anayependa shida si jinsia mke wala mme π
Mimi huwa nawajua watu tabia zao hata kwa kile wanachokiandika tu.Asanteh mkuu mana kanizingua PM.
Mshahara wangu laki 5 wewe matumizi yako kwa mwezi yanazidi kipato changu na unajua kabisa kipato changu uko c kukomoana kimakusudi! Mtu kama huyo kumkimbia ni sawa kabisa maana ni nyonya damuHata nyinyi pia kwa sasa hampendi kuingia kwenye mahusiano na Mwanamke ombaomba ushahidi mada nyingi humu jukwaani mkilalamika.
Huyo Best wako kamzzingua Jamaa PM π π πKifupi hakuna binadamu anayependa shida si jinsia mke wala mme π
Satoh Hirosh ππWatoto mmepigwa biti kali msisumbue
Nitaanza kukupa chakula kizuri Hadi ushangae.Sasa me sipendi chakula kibaya itakuaje hapo Rafiki[emoji23]
Mtoto una miaka 27 unataka wazee wa miaka 40/50 khaaaaa beer mbi ndauli muyaaa???[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] Unataka kuju?,Kwan wazee huwaga hawana vya kuongea?
Hajazinguliwa mtu Ila vilza wote wamepokea za uso na block juu,kwenye msafara walikuwepo mamba wanaotakiwa ila ajbu kenge na mijusi wakaja Sasa hao nimedili nao vilivyo.Tena wakitaka wafungue uzi ili niwa taje vzuri.Nilisema nahitaji rafiki mtu mzima,haya asa hao wakataa ndoa kilichowaleta pm kuomba huruma n nn?Huyo Best wako kamzzingua Jamaa PM π π π
Asa uwangaike kuja na ripot yngu hunijui,umeumia Sanaa na hao wazee?,njoo na hio ripoti ila jipange vizur kwa lolote sawaa eeenhhh.Mimi nitakuja na yko ya ukweli kabisaaa.Ubongo wa binadamu ndivyo ulivyoumbwa kuwaza mazuri tu. Hakuna mtu anayewaza kuwa na mateso au kuwa na shida na ndio maana ubongo huwa unakutuma ufanye hiki na kile ili upate kile
Utafika muda utaanza kusema nahitaji anaeweza kupumua tu hapo ndio ushafika jioni na humuoni hata mmoja, nikutakie kila lakheri huko kwenye kubanjuliwa km koroshiWatoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.