ππ Yani nipo huku nacheka,ndio maana unaona kila anaeleta shobo nampa za uso.yaani VIJANA wamepaniki ukute Sasa wanavyojifanyaga kutukana wanawake,mara kataa ndoa.NA WASIKIE TU WATOTO SITAKI,NATAKA WATU WAZIMA.Kwa nini amepanikiii huyu kijana kwani ni kosa kutaka mzeeπ¬ππ
Yes yapo tena ya dhati kabisa.Mfano wewe unapenda Mwanamke mweupe mwenye chura au mdogo kiumri ndivyo ilivyo kwa mtoa mada.Kunakuwa na mapenzi ya kweli hapo? Utakuta binti ana miaka 26 anaolewa na mtu ana miaka 55 !! Kuna walakini hapo
Sister ! apo Inatafutwa pesa tu hakuna mapenzi wala nini,Yes yapo tena ya dhati kabisa.Mfano wewe unapenda Mwanamke mweupe mwenye chura au mdogo kiumri ndivyo ilivyo kwa mtoa mada.
Nakwambia kama dada yako wazee asilimia kubwa wanakupa utulivu na furaha bila kusahau amani ya moyoπππ Yani nipo huku nacheka,ndio maana unaona kila anaeleta shobo nampa za uso.yaani VIJANA wamepaniki ukute Sasa wanavyojifanyaga kutukana wanawake,mara kataa ndoa.NA WASIKIE TU WATOTO SITAKI,NATAKA WATU WAZIMA.
Kumbuka na Wewe ni KIjana lakini π π π πMimi sijafata hela,Wala sitaki hela.UKWELI NI KUWA SIVUTIWI WA VIJANA.
Anatafutwa Sponsor hapa sio rafiki π€£π€£π€£Nakwambia kama dada yako wazee asilimia kubwa wanakupa utulivu na furaha bila kusahau amani ya moyoπ
Nakwambia kuna wanawake tunapenda kuingia kwenye mahusiano na watu walio tuzidi umri ukiniuliza kwa nini vipo vingi vizuri vya kueleza.Sister ! apo Inatafutwa pesa tu hakuna mapenzi wala nini,
Si kweliAnatafutwa Sponsor hapa sio rafiki π€£π€£π€£
believe my words πππSi kweli
Tatizo liko wapi?,mbona wanaume kibao humu wanatafuta wenzi walio chini yao?mm kutaka alie nizidi inawasumbua Nini?,Tena nimesema rafiki.Kwann wanaume was jf mnatabia za kunyanyasa wanawake?Kumbuka na Wewe ni KIjana lakini π π π π
Halafu acha kuwa mbaguzi kuna vijana miaka 26 tu lakini wana mawazo mazuri na yenye kuboresha maisha. Lakini kwa hilo hitaji lako utaishia kuonekana unatafuta MUME tu au Sponsor
Wewe amini unachoona kinafaaππbelieve my words πππ
Ila mnapenda kuingia ktk hayo mahusiano na watu walio vizuri kiuchumi,ila cha ajabu akitokea mzee mwenye miaka 56 ambaye hayupo vizuri kiuchumi mnamruka futi 100 mnaanza yale maneno "ujana wako ulie wapi uje kumalizia uzee wako kwangu"Nakwambia kuna wanawake tunapenda kuingia kwenye mahusiano na watu walio tuzidi umri ukiniuliza kwa nini vipo vingi vizuri vya kueleza.
Hata nyinyi pia kwa sasa hampendi kuingia kwenye mahusiano na Mwanamke ombaomba ushahidi mada nyingi humu jukwaani mkilalamika.Ila mnapenda kuingia ktk hayo mahusiano na watu walio vizuri kiuchumi,ila cha ajabu akitokea mzee mwenye miaka 56 ambaye hayupo vizuri kiuchumi mnamruka futi 100 mnaanza yale maneno "ujana wako ulie wapi uje kumalizia uzee wako kwangu"
Hahahaaa poleHizi thread hua ni kupima reaction tu. Hakuna kitu hapo.
Mie sifa zote ninazo lakini kazingua PM.
Sa sjui anataka nnπ€π€ππΏ
Kesho nitaanza kuhariri Post za huyu anaetaka rafiki wa kiume zote halafu nitajua kama anatakaWewe amini unachoona kinafaaππ