Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Kwa nini amepanikiii huyu kijana kwani ni kosa kutaka mzee😬😁😁
😆😆 Yani nipo huku nacheka,ndio maana unaona kila anaeleta shobo nampa za uso.yaani VIJANA wamepaniki ukute Sasa wanavyojifanyaga kutukana wanawake,mara kataa ndoa.NA WASIKIE TU WATOTO SITAKI,NATAKA WATU WAZIMA.
 
Kunakuwa na mapenzi ya kweli hapo? Utakuta binti ana miaka 26 anaolewa na mtu ana miaka 55 !! Kuna walakini hapo
Yes yapo tena ya dhati kabisa.Mfano wewe unapenda Mwanamke mweupe mwenye chura au mdogo kiumri ndivyo ilivyo kwa mtoa mada.
 
😆😆 Yani nipo huku nacheka,ndio maana unaona kila anaeleta shobo nampa za uso.yaani VIJANA wamepaniki ukute Sasa wanavyojifanyaga kutukana wanawake,mara kataa ndoa.NA WASIKIE TU WATOTO SITAKI,NATAKA WATU WAZIMA.
Nakwambia kama dada yako wazee asilimia kubwa wanakupa utulivu na furaha bila kusahau amani ya moyo😍
 
Mimi sijafata hela,Wala sitaki hela.UKWELI NI KUWA SIVUTIWI WA VIJANA.
Kumbuka na Wewe ni KIjana lakini 😂 😂 😂 😂
Halafu acha kuwa mbaguzi kuna vijana miaka 26 tu lakini wana mawazo mazuri na yenye kuboresha maisha. Lakini kwa hilo hitaji lako utaishia kuonekana unatafuta MUME tu au Sponsor
 
Tatizo liko wapi?,mbona wanaume kibao humu wanatafuta wenzi walio chini yao?mm kutaka alie nizidi inawasumbua Nini?,Tena nimesema rafiki.Kwann wanaume was jf mnatabia za kunyanyasa wanawake?
 
Nakwambia kuna wanawake tunapenda kuingia kwenye mahusiano na watu walio tuzidi umri ukiniuliza kwa nini vipo vingi vizuri vya kueleza.
Ila mnapenda kuingia ktk hayo mahusiano na watu walio vizuri kiuchumi,ila cha ajabu akitokea mzee mwenye miaka 56 ambaye hayupo vizuri kiuchumi mnamruka futi 100 mnaanza yale maneno "ujana wako ulie wapi uje kumalizia uzee wako kwangu"
 
Hata nyinyi pia kwa sasa hampendi kuingia kwenye mahusiano na Mwanamke ombaomba ushahidi mada nyingi humu jukwaani mkilalamika.
 
Ukisoma hoja za wachangiaji waliowengi ambao wana umri chini ya miaka 35, utajiridhirisha kuwa; huyo dada yupo sahihi kabisa. Yaani unakutana na michango ya hovyo hovyo eti hao ndio wanataka wapewe nafasi???
Bora kabisa apate mtu ambaye ni full matured (above 35) ili aweze kupata ushauri muafaka wa kuendesha maisha yake....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom