Masalia Mpya
Member
- Mar 24, 2023
- 53
- 68
HapanaSamahani nje ya mada kidogo, Mkuu na wewe ni memba wa kundi la Wasabato masalia?
Huanza urafiki kisha ndoa bana, usiruke stageRafiki au mume
Sina vigezo, Gee anataka Daktari au Mjeda. Mie mama lishe sina nafasi hapo!
Haya
Unaanza urafiki kwanza ndio mengine huzaliwa ndugu…Kwenye URAFIKI kumbe kuna kubaguana kwa kua single na udini?? URAFIKI GANI HUO EMBU KUA MUWAZI
Ninyi mnaokuja PM naomba mzingatie vigezo, sasa unakuja inbox unasema kabisa una miaka 28 afu umeoa. Hivi kweli umesoma bandiko au kwa vile PM iko wazi unakuja tu.Niaje katika jukwaa hili…
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu.
Vigezo:
Awe single (Mgane/ Mtalaka)
Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele)
Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana tunashare Imani.
DM iko wazi…
Ndimi
Masalia Mpya
Umetisha Mrs Lissu, wewe ndiye mama watoto wa mheshimiwa Lissu?
Hapana! Ni jina tu limefanana...sabato njemaUmetisha Mrs Lissu, wewe ndiye mama watoto wa mheshimiwa Lissu?