Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.

Masalia Mpya

Member
Joined
Mar 24, 2023
Posts
53
Reaction score
68
Niaje katika jukwaa hili…

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu.

Vigezo:
Awe single (Mgane/ Mtalaka)
Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele)

Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana tunashare Imani.

DM iko wazi…

Ndimi
Masalia Mpya

=====

Niaje katika jukwaa hili…

Amepatikana, thread closed

Ninyi mnaokuja PM naomba mzingatie vigezo, sasa unakuja inbox unasema kabisa una miaka 28 afu umeoa. Hivi kweli umesoma bandiko au kwa vile PM iko wazi unakuja tu.

NARUDIA TENA NAHITAJI RAFIKI ALIYE SINGLE UMRI 40-50yrs.

Nataka Mzee mwenzangu… Vijana nendeni kwa vijana wenzenu.
 
Ngoja nije tubageini kwenye umri jamani mbona mnatutenga hivo
 
Wazee kwa wazee, vijana kwa vijana.
Life starts at 40
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom