natafuta rafiki wa kiume

natafuta rafiki wa kiume

Wanaomfahamu huyu dada naomba wamuwaishe hospital maana akili zake hazina akili.
 
natafuta rafiki wa kike mwenye uhitaji kama wewe, tuwasiliane..
 
Gold diggger utawajua tu bila kuumiza kichwa. alijisemea mayasa "siku hizi wanaume wameshakua wajanja, wanafahamu wanawake wanao waibia".
 
ukitaka wa hivyo labda kajaribu bahati yako kariakoo kwa wenye maduka ya jumla!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe dada mawazo yako yako likizo kama mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu
 
teheee!kazi kweli.ni acc tu ndo imechanganya watu kiasi hichi au?
 
Hawa ndo wanawake wa leo!Ambao hatujaoa kazi tunayo!
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

Kama ana 13.5m kwenye acc yake,afu anakunywa kidogo na yupotayari kuacha kunywa vipi utakubali?lol
 
Wewe ndo unatakiwa uniPM kwa vigezo kama hivo
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

Nimekosa hicho kigezo cha rangi, na pesa nina milioni 2. tu bank, kama uko seious karibu sirg58@ymail.com
 
Jamani....husiulize marekani itakufanyia nini jiulize wewe utaifanyia nini marekani......
wacha kutaka mwanaume akufanyie vitu dada wewe jiulize utamfanyia nini mwanaume.....mbona mlisema MNAWEZAAA?
 
Back
Top Bottom