natafuta rafiki wa kiume

yan kumtafuta rafiki tu unataka hawe na 10mil kwenye acc, je ukitafuta mchumba si utasema unataka hawe na bugati
 

mambo vp?mbona haujaandika una umri gani,hila nadhani utakua miaka 25 kuja chini na hayo masharti ulotoa subiri ufike miaka 28 kama utayaweka hayo utasema shart awe na miaka kuanzia 33-45 tena utamalizia awe dini yoyote mambo ya million 10
https://www.jamiiforums.com/love-connect/225241-natafuta-rafiki-wa-kiume-3.html
 
natafutabinti! natafutabint wa miaka 18-23,mrefu,mweupekidogo,elimuawe na certificate na kuendelea alie tayar
 
hata wanaume siku hizi wanatafuta walio na vyao sasa kama na wewe hujaweka unavyomiliki sorry utaempata ataonja tu then ataendelea na safari
 
Mie ninikukuta bikra hata hii Milioni 10 naongeza na bonas na kuhamishia kwenye akaunti yako na kamwe sita kuuliza matumizi yake ntaendelea na hesabu nje na hizo.....

Naami kwa vigezo vyako ulivyoweka wewe ni mwanamke real na hujawahi liwa ishu!
 
Huyu lazima awe anamiliki TRA vinginevyo awe ni uncle yake Mkullo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…