Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo?

Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo?

hapana yule jina lake siyo hilo[emoji28][emoji28]Kale kajamaa nikikaona kabla hakajachekesha nacheka
Siku hyo nlikuwa natafuta picha ya kuweka avatar nkiaangalia gallery imejaaa vitu vyenye uhusiano na kazi zangu tu! Nkazama Facebook nkakutana na hyo😁 nashukuru inaniwakilisha vema
 
Siku hyo nlikuwa natafuta picha ya kuweka avatar nkiaangalia gallery imejaaa vitu vyenye uhusiano na kazi zangu tu! Nkazama Facebook nkakutana na hyo[emoji16] nashukuru inaniwakilisha vema

[emoji3][emoji3][emoji3]ndio nadhan naww akili yako mnafanana nakuangaliaga comment zako
 
Nina changamoto ya kushindwa kutoka nje yaani nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum.

Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivyo nahitaji rafiki yeyote wa kuchat naye asiwe anaomba hela wala mtoto

Nawasilisha
Chief hujaeleweka. Rafiki wa kike au mwanaume!
 
Back
Top Bottom