Natafuta rafiki wa kuchat naye!

Natafuta rafiki wa kuchat naye!

Bonitah

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
33
Reaction score
13
Mimi ni mdada, Natafuta rafiki wa kuchat naye, iwe serious + fun chating, kubadilishana mawazo na kupeana idea tofauti za kimaisha zaidi.

Awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea popote pale! Atakayependa aniPM!

Karibu!
 
Hapa ndo kwenyewe umeshafika! Unachati hadi ukimbie, we uwe mahiri wa kuanzisha thread tu. Tena hapa watu wapo srious kweli kweli.
 
Mimi ni mdada, Natafuta rafiki wa kuchat naye, iwe serious + fun chating, kubadilishana mawazo na kupeana idea tofauti za kimaisha zaidi.

Awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea popote pale! Atakayependa aniPM!

Karibu!

Weka CV yako hapa wengine hatuchati kijingajinga
 
1. Weka picha yako
2. Kazi unayofanya na Kipato chako
3. Unaishi wapi na ni kwa nani
REASON:
Unaweza kuanza kuchat na mtu mara upande wa pili mtu akaKANUMBA a.k.a brain concussion!
 
Nenda facebook kuna kila aina ya watu wa kuchati nao huko
 
1. Weka picha yako
2. Kazi unayofanya na Kipato chako
3. Unaishi wapi na ni kwa nani
REASON:
Unaweza kuanza kuchat na mtu mara upande wa pili mtu akaKANUMBA a.k.a brain concussion!

kaazi kweli kweli!
 
the........te.......tehe.......
unashilingi ngapi?
 
Kuwa makini aisee, ona sasa sredi yako imeleta sababu chekwa......Unataka kuchati au unatafuta kipoozeo cha machungu uliyoyapata side A?
 
Kama kweli veve ipo ya shida ya kuchat ebu anzaPM then takupa chating mingi sana toka bombay na duniani yotee!
 
Back
Top Bottom