Natafuta rafiki wa kuchat naye

Natafuta rafiki wa kuchat naye

Rasenka

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
44
Reaction score
3
Nina mke na watoto but natafuta marafiki ya kuchat na kubadilishana nao mawazo ktk maisha kupitia ukumbi huu wa JF.
 
Aah! Baba mkwe! Naona ushachoka sasa kuchat na mkeo na hao watoto ee? Unatafuta small house nin? Teh teh naktania ucje kunrukia!Kuna wataalam wa kuchat ngja waje!
 
Nina mke na watoto but natafuta marafiki ya kuchat na kubadilishana nao mawazo ktk maisha kupitia ukumbi huu wa JF.

Unataka wa private au wa hapa hapa jamvini? Sema usikike.
Wapo wengi sana humu
 
We hapa leta thread watu tuchangie baaaasi.
 
Back
Top Bottom