R raia_mwema JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 479 Reaction score 314 Jun 27, 2013 #1 Natafuta rafiki wa kike wa kuchat na kubadilishana mawazo, kushare ideas etc... Umri wangu ni miaka 27 na elimu yangu ni shahada ya kwanza... kama upo tayari ni Pm... sio lazima kuchangia hapa kama haukusu endelea na shughuli zako nyingne
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat na kubadilishana mawazo, kushare ideas etc... Umri wangu ni miaka 27 na elimu yangu ni shahada ya kwanza... kama upo tayari ni Pm... sio lazima kuchangia hapa kama haukusu endelea na shughuli zako nyingne
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jun 27, 2013 #2 Yaani rafiki wakubadilishana naye mawazo ndo mpaka awe na elimu kuanzia kiadato cha sita?
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,181 Reaction score 6,813 Jun 27, 2013 #3 ina maana hadi chuoni umekosa bint wa kuchat naye hadi uje hapa jukwaani,we una lako jambo!
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,612 Jun 27, 2013 #4 kidato cha sita awe amemaliza au hata kama ndio ameanza ni sawa pia?
Estina Member Joined Jun 7, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jun 27, 2013 #5 Ucbague wa2 bana coz hta m2 wa drxa la xba anaweza kuwa na mawazo ya buxra na mkachti poa! Don mind n mtazamo 2.
Ucbague wa2 bana coz hta m2 wa drxa la xba anaweza kuwa na mawazo ya buxra na mkachti poa! Don mind n mtazamo 2.
M Mtumishi kazi Member Joined Jun 1, 2013 Posts 25 Reaction score 3 Jul 28, 2013 #6 hizi elimu,majanga.maana kila kitu degree,hata ushauri wa wazazi tutajaukataa, kisa- ELIMU
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Jul 28, 2013 #7 sema tu unatafuta mpenz
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,652 Jul 28, 2013 #8 Mjomba unaanzia mbaliiiiiiii. Kie kie kie kie