Natafuta rafiki wa kuchat

Natafuta rafiki wa kuchat

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat na kubadilishana mawazo, kushare ideas etc...
Umri wangu ni miaka 27 na elimu yangu ni shahada ya kwanza...
kama upo tayari ni Pm...
sio lazima kuchangia hapa kama haukusu endelea na shughuli zako nyingne
 
Yaani rafiki wakubadilishana naye mawazo ndo mpaka awe na elimu kuanzia kiadato cha sita?
 
ina maana hadi chuoni umekosa bint wa kuchat naye hadi uje hapa jukwaani,we una lako jambo!
 
kidato cha sita awe amemaliza au hata kama ndio ameanza ni sawa pia?
 
Ucbague wa2 bana coz hta m2 wa drxa la xba anaweza kuwa na mawazo ya buxra na mkachti poa! Don mind n mtazamo 2.
 
Mjomba unaanzia mbaliiiiiiii. Kie kie kie kie
 
Back
Top Bottom