Natafuta rafiki wa kuchati naye Kigoma

Natafuta rafiki wa kuchati naye Kigoma

Slai

Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
9
Reaction score
1
ndugu wanajamii forum.

Nimehamishiwa kikazi Kigoma. Najisikia mpweke sana. Sina maana kuwa nataka kufanya ufuska. lakini natamani angalau demu wa kuchati naye tu. lakini aliye kigoma.
Karibu inbox
 
Kigoma hutakiwi kuwa na marafiki wa kiume
 
Back
Top Bottom