1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
- Thread starter
- #21
ManyaraUko wapi
ManyaraUko wapi
Kabisa. Akikuangalia utafikiri yeye ni Jamila. Ana jicho fulani la kukata aisee 🙌😂😂 Kabisa mkuu, jamaa anajua namna ya kutukumbusha uwepo wetu jukwaani. Huyu ni mtaalamu wa kutufufua! 😄 Au kutifuliwa
Kabaisaaa....Yeah, pumbavu zake kabisa.
Kuwa upinde wala siyo dili!
KeWewe ni jinsi gani?
Upo mkoa gani?
Umri gani?
Hivi vitu vya msingi usije kua una miaka 20 binti nikaja mzee wa miaka 50 ukaniona mwehu
Manyara kubwa mi nipo Dongobeshi. marathon ya juzi ulikuepo?Ke
Manyara
27
Aiseee🐱"Natafuta rafiki wa kweli — kwenye shida na raha"
Mtu yeyote aliyewahi kununua malaya hii sentensi sio ngeni kwake
Njoo pmManyara
Nipange, huenda leo ukakubali..Ila babu😆
Kwani sisi si marafikiNipange, huenda leo ukakubali..
Marafiki wa kalamu😬😬😬Kwani sisi si marafiki
Inanoga zaidi babu unataka marafiki wa daftari?Marafiki wa kalamu😬😬😬
Nataka nifungue hucho kitabu mjukuu 😬😬Inanoga zaidi babu unataka marafiki wa daftari?
Sasa hapo si ndio utakua kama Daddy yake?Wewe ni jinsi gani?
Upo mkoa gani?
Umri gani?
Hivi vitu vya msingi usije kua una miaka 20 binti nikaja mzee wa miaka 50 ukaniona mwehu
Kitabu gani tena jamani😬Nataka nifungue hucho kitabu mjukuu 😬😬
Mjukuu bwana!Kitabu gani tena jamani😬