ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
marafiki sijapata hata wa kusingiziwa, wanaogopa kisa kwetu tangaUmewapata hebu tupe mrejesho.
Hamna tatizo kuwa na subira tu.marafiki sijapata hata wa kusingiziwa, wanaogopa kisa kwetu tanga
Waache wasije ntaweka bango mtaan kwetu nitapata tuHamna tatizo kuwa na subira tu.
aisee kinuksiHii ni post yako ya pili ya kutafuta rafiki.Hujapata tu?
sipajuiNenda Facebook?
Njoo pmNaishi Tanga Jina kamili Abdulqadir Hassan nina miaka 21
nahitaji rafiki Jinsia zote.
Vigezo;-
1.awe mwenye akili ya kushauriana kwenye mazuri
2.asiwe mshari na awe mcheshi yan kutaniana wakati nwengine, asiwe sirias kupitiliza
3.Asiwe wa majivuno kupitiliza
4.miaka
kama uko readyam PM
Njoo pm wew ume weka limit watu wasiweze kuview profile yako wala pmNjoo pm