Natafuta rafiki

Natafuta rafiki

elmony

Member
Joined
May 19, 2017
Posts
15
Reaction score
3
Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
 
Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
Monilite ndo jina la kabila gani we ke au me?
 
Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
Unatafuta marafiki au rafiki?
 
Back
Top Bottom