Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kama huna familia wala ukoo sawa
Ila kinyume na hapo sikushauri.
Ila kinyume na hapo sikushauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hii kitu imetulia sana. Many thanks!View attachment 2341049
Cheap unajenga 2 bedrooms masters, sitting,kitchen
Tofali 1500*1000 bati 30*25000
Punguza negative energy mkuu, sio nzuri kwa afya yako ya akili.unataka nyumba ya kizungu ww mzungu?
unaweza kusihi kizungu
upo uzunguni
unayajua mahitaji ya kizungu mpka wanajenga nyumba ndogo
unaweza jenga hyo nyumba ya kizungu ila vitu vikawa out of place kuwa makini kama wazazi wako walitokea nyumba ya tembe na msonge ww dumisha mila usilete uzungu[emoji41]
Asante sana.Kila La Heri
Ninayaweza maisha ya kizungu mkuu, wala isikupe shida.Utajenga nyumba ya kizungu Kama unavyotaka Ila kuishi kizungu kukakushinda. Utashangaa pole pole unaweka jembe sebuleni/nyuma ya mlango.
Nadhani ungeishi kizungu nyumba yoyote itakufaa. Maana uzungu ni utamaduni na sio majengo.
Ramani nzuri mkuu, japo mimi sio mpenzi wa contemporary.
Nyumba za kinyakyusa hizi kumba kubwaView attachment 2336172Kwa design yangu kama iyo whatsaap/call 0744547819
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.
Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.
Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Hizi ndo nyumba za kizungu. Ogopa matapeli
Hizi jua linapiga moja kwa moja madirishani
ASANTE MKUU, NILIKUA SIFAHAMU HII KITU, NIMEINGIA IPO GOOD SANAIngia Pinterest au google tu mkuu,,kila kitu utapata!
Nyumba ya kizungu ndio nyumba gani hiyo? Dah kila kilicho kizuri na cha kisasa tunaita cha kizungu au?Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.
Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.
Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Unaijua biznez brooView attachment 2341049
Cheap unajenga 2 bedrooms masters, sitting,kitchen
Tofali 1500*1000 bati 30*25000
Wabongo interior ya nyumba zao wanajaza Ma-gypsum kwenye TV showcase na kwenye ceiling board... bila kusahau kuweka mataa taa ya rangi rangi kama za disco kwenye hiyo ceiling board.Wazungu Wana nyumba kama mabox, hazina mvuto kabisa Kwa njee, interior design yake ni balaa, na wengi hupenda nyumba iwe na nafasi, nje na ndani,
Na pia kuwe na uwanja Kwa nje either wa basketball au football pitch ndogo tu for leasure, ikibidi na kijiko Cha nyama, BBQ, n.k
Kifupi wazungu wanajua design,
Sio sisi nyumba kuubwa nzuur ila Haina kiwanja hata Cha kufagia.
Bustani za kijinga, Packing hakuna, ukirud kutoka job shart muwe wawili kuingiza gari ikae vzr ndani Ili asubuhi iwe rahsi kuondoka.
Nyumba ni nafasi nje na ndani hapo ndo utaskia rah ya nyumba,
Exactly 💯Wabongo interior ya nyumba zao wanajaza Ma-gypsum kama TV showcase na kwenye ceiling board... bila kusahau kuweka mataa taa ya rangi rangi kama za disco kwenye hiyo ceiling board.
Wabongo hawajui color principles.. Unakuta ndani kapaka rangi ya pink au kijani ya parachichi.
Kiufupi, when it comes to Interior...Wabongo ni almost sifuri