Natafuta Research Assistants (2)

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Salam wadau
Natafuta Research Assistants (2), mmoja wa kiume na mmoja wa Kiume wawe na elimu kuanzia kidato cha 6, kwa sasa nipo nje ya nchi natarajia kuwa Dar es Salaam, ndipo nitakapofanyia utafiti wangu... kama upo tayari nitumie CV yako kwenye andreakalima@gmail.com, kutakuwa na usaili wa awali kabla ya kuanza kazi watakaofaulu ndio nitawachukua kwa ajili ya utafiti. Asante
 
Mkuu hapo rekebisha, vinginevyo utakuwa unamaanisha wote wa kiume.
 
Correction: Mmoja wa KIUME na mmoja wa KIKE (so 2 Research Assistants)
 
natarajia kuwa dar es salaam kuanzia tarehe 18/04/2013
 
reseach inahusu mambo gan?(topic of the reseach) Na ijafanyika eneo gan?
 
tuambia utafiti wako unahusu nn, utachukua muda gani na mazingira ya utafiti yatakuwaje pia unaowataka wawe na sifa gani zaid ya hiyo form six....! au unafanya utafiti kama ule wa kuhesabu magari barabarani?
leta details mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…