Natafuta Room Mate wakike

Natafuta Room Mate wakike

M2 akiwa serious mnaleta jocks, ila poa isiwe ishu
 
Nyumba yangu ni kubwa ya 4 bedrooms. tuko watatu tu. chumba kimoja kiko wazi. naweza kukuweka kama paying guest. kuna kitanda na tv. kama uko interested, nijulishe hapa then nitakupigia for further discussions.


UOTE=emilwayne;3137344]Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224[/QUOTE]
 
M2 akiwa serious mnaleta jocks, ila poa isiwe ishu

Uko Serious kwenye maneno tu yanayoandikwa kwa keyboard . . . . nuthing more.
Request gani seroius fupi hivyo?
 
nawakika hapo chuoni kwenu kuna watu hawana hifadhi wanalala mpaka chini kwanini usitafute mwanaume mwenzako umpe hifadhi?????
 
mama yako hatakuwa anakufaa embu mwambie awe room meti wako
 
I wish I could be of help. Umekuwa very specific juu ya gender na huja taja uko wapi. Please kuwa specific.
 
Anaegawa akili kwa binadamu ana upendeleo sana. Nadhani wewe ulipewa kb 3 za akili. Chuo husemi, kwa nini unahitaji mate husemi, aina ya mate (wanafunzi au yeyote) husemi. Sasa wewe ni mwanafunzi wa aina gani usiweza kujieleza. Au umetokea sayari nyingine?
 
Back
Top Bottom