Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
- Thread starter
- #21
Mende mdudu au mende ipi ¿Haogopi hata kukutana na mende😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mende mdudu au mende ipi ¿Haogopi hata kukutana na mende😅
UpwekeeUmekosa kabisa watu unaofahamiana nao?
Wote wanatabia zinazofanana.Mende mdudu au mende ipi ¿
Kuna chalii nae anafuta wa kushare nae room kama bado utakua hujapata utanipm nikuunganishe nae.
Msamehe ni ugumu wa maisha tu ndio unasababisha hayo yote.Una umri gani??
Kuna umri ukifika sio busara wanaume kukaa chumba kimoja.
Sijui nini kimetokea, miaka ya 90 early 2000 Wakati tunajitafuta na mashuleni tulilala wanaume hata 5 chumba kimoja na hakuna aliyekuwa na haya mawazo.Mnataka muanze kubanduana humo au sio.. mie kulala hata na ndg yangu wa damu sitaki.
Jichanganye.. Gen Z hawatakuacha salama.Sijui nini kimetokea, miaka ya 90 early 2000 Wakati tunajitafuta na mashuleni tulilala wanaume hata 5 chumba kimoja na hakuna aliyekuwa na haya mawazo.
Kuna maisha ukishavuka ni ngumu sana kurudi.Jichanganye.. Gen Z hawatakuacha salama.
Internet imezidi kuharibu jamii hususani madogoKuna maisha ukishavuka ni ngumu sana kurudi.
Kama vijana wawili hawawezi kukaa chumba kimoja wakatafuta maisha sababu ya kutamaniana basi tena.Internet imezidi kuharibu jamii hususani madogo
Dogo kama bado una marinda nakushauri uendelee kuyatunza.Mkuu hayo ni yako
Hayatoe wapi?? Yaani Dar kakosa chumba cha laki mbili anataka kushare chumba cha laki na mwanaume mwenzie??Dogo kama bado una marinda nakushauri uendelee kuyatunza.