Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wanasepa na kijijii amaaa🤗Jichanganye.. Gen Z hawatakuacha salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasepa na kijijii amaaa🤗Jichanganye.. Gen Z hawatakuacha salama.
Mapema tu..Wanasepa na kijijii amaaa🤗
na umepewa likes za kutoshaUnsual
Kuna maishaa baada ya kifo, chunga kauli zakoHayatoe wapi?? Yaani Dar kakosa chumba cha laki mbili anataka kushare chumba cha laki na mwanaume mwenzie??
Hawa vijana kuku wa kisasa kabisa!! Wanaitwa Nginjangija
Hii mpya aisee bora ungesema ku share nyumba ila chumba duh hapana Kwa kweli nyege na uchizi ni vitu vinavyoendana
Kusema tu natafuta roommate mmeshafikilia na budget zenu kua zanguUshauri mkubwa kabisa, jitahidi uishi mwenyewe, kama lemgo lako ni chumba cha 100k kwa sifa fulani na eneo fulani nawe uwezo wako kibajeti 50k ndio maana unahitaji mtu wa kuchanga.
Hapo chagua 1, aidha uchukue cha kodi ya 50k eneo hilo hilo, ama uende eneo jingine upate kwa sifa zile zile lakini bei iwe imepoa kwa bajeti yako.
Thamani ya vyumba ina tofautiana kwa eneo na eneo.
MagomeniMkuu unaitwa movie inaelekea ni mpenzi wa movies .oky upo maeneo gan mkuu tufanye jambo
Mkuu mi nipo gongo la mbotoMagomeni
UtiAkitokea wa hivi lakini wa kike namkaribisha kwa moyo Mkunjufu......
Aje yeye na Nguo zake tu.
Unamaanisha?
Niko readyUko tayari ku- takerisk?
YapUnamaanisha?
UTI?
Upo mtaa gani?Niko ready
Upo mtaa gani?