Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
- Thread starter
- #61
ila hiki kizazi kinamawazo finyu sana. Nilikuaga najiuliza kwanini matajiri wengi ni wazee. Nimepata sababuMtafinyana matako vijana,Tafuta chumba cha peke yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila hiki kizazi kinamawazo finyu sana. Nilikuaga najiuliza kwanini matajiri wengi ni wazee. Nimepata sababuMtafinyana matako vijana,Tafuta chumba cha peke yako.
Na sisi wengine ndio wazee masikini wenye akili finyu tuliopo JF.ila hiki kizazi kinamawazo finyu sana. Nilikuaga najiuliza kwanini matajiri wengi ni wazee. Nimepata sababu
Lugha gani hii?Unsual
Miaka 20 unataka ukapange ili iweje? Hebu baki home
Wewe itakuwa mtoto wa Bi.Mkubwa, Msoftisofti na Lainiiii.Mnataka muanze kubanduana humo au sio.. mie kulala hata na ndg yangu wa damu sitaki.