Natafuta Saluni ya dreadlocks Ukonga

Natafuta Saluni ya dreadlocks Ukonga

Yaani nikisikia marasta nahisi kichefuchefu kabisa
 
Mission kama itafeli Evelyn Salt nicheki!
Na ukifanikiwa tupia humu hata kapicha tu wadau waone matokeo ya juhudi zao za kukuelekeza!
 
Pia Kama unahitaji wa kukufuata ulipo yupo yumo kwa Instagram anatumia "Kizigo" utakuta namba yake ya simu Ni shs 15,000 au 10,000 Kama unasokota na kubana Evelyn Salt
 
Mkuu dreads zako ndefu sana? Kabla ulikuwa unatengenezea wapi?

Tupia kapicha nizione
 
Mkuu dreads zako ndefu sana? Kabla ulikuwa unatengenezea wapi?

Tupia kapicha nizione
Nlikua natengenezea mwenge, nimehama mitaa ile hivo pamekua mbali nashindwa kwenda.
Teh ni ndefu kiasi zinabana kafungu ka mchicha 😀
 
Back
Top Bottom