Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Wakuu nitapata wap samaki aina ya Msusa wa kukausha, nipo Dodoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe🙄Sio! Yule ni Jodari
Hii ndio msusa,kama yupo naye samaki Nzaramo nmoja atusaidie kufahamu.
Bora angesema chuchunge
wasalmie sana watu wa marine parkniko kisiwa cha mafia, hilo jina la huyo samaki sidhani kama ni msusa, chimba zaidi jina picha tufanye kitu
ulishawahi ishi mafia mkuuwasalmie sana watu wa marine park