Natafuta Scholarship [Computer technologies ]

Natafuta Scholarship [Computer technologies ]

Einstein

Senior Member
Joined
Dec 5, 2009
Posts
121
Reaction score
26
Habari?

Naomba kufahamu kama kuna scholarship ya masters katika technology za computer..

Mahali: Iwe ni US, Europe, Singapore, au Malaysia..

Mimi kwa sasa namalizia mwaka wa pili BSc Computer science & Engineering..

Napenda kubobea katika mambo ya Database Administration, Web/Mobile/Network programming..

Nahitaji kuunganisha masters katika maeneo taja hapo juu..

Shukrani
 
Back
Top Bottom