Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
 
Nakutajia mikoa ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1. Mbeya wilaya zote nzuri
2. Iringa wilaya zote nzuri
3. Morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4. Ruvuma, wilaya zote
5. Njombe wilaya zote
6. Rukwa wilaya zote

Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.
 
Back
Top Bottom