Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Njombe au Mbeya maeneo ya Tukuyu.

Ila sijajua hospital ya level gani?
 
Bukoba na mitaa yake ndo sehemu pow Sana ya kuishi Tanzania.

Kwanza maisha ni cheap . Ushawahi ona bodaboda za jero? Sato zinauzwa 1000 chips yai mayai ya kienyeji? Yaani vitu ni cheap kupindukia.
Hali ya hewa na mvua za hapa na pale zinapafanya pawe kijani muda wote yaan sio baridi wala joto.

Bado huduma za kijamii kama Safi na chemichemi kibao
Mji Una beach zote sand ( Miami na kabuhara na kiroyera) pebble ( eco beach) na stone( bunena beach)

Bado gharama za kupanga ziko chini mno.

Bila kusahau watoto wenye mizuka wa kihaya

Baadhi ya mitaa ya bukoba
FB_IMG_16096839715164162.jpg
Screenshot_20201227-150637.jpg
Screenshot_20201227-151539.jpg
Screenshot_20201227-082145.jpg
Screenshot_20201227-151435.jpg
Screenshot_20201227-150609.jpg
images%20(1).jpg
Screenshot_20201225-122409.jpg
FB_IMG_16027391949405142.jpg
 
nenda mkoa wa ruvuma wilaya ya tunduru kuna huduma zaidi ya hata hizo ulizo zimention,nimekaa sana Takriban two years kupo vizur hakuna shida full available of social services.
Ngoja niendelee kusoma maoni ya wadau nimeshanote
 
Tanzania hakuna sehemu nzuri na salama zaidi ya Chato
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2539][emoji817][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Nakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1.mbeya wilaya zote nzuri
2.iringa wilaya zote nzuri
3.morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4.ruvuma, wilaya zote
5.njombe wilaya zote
6.rukwa wilaya zote

Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.
Hapo nmekupata
 
Back
Top Bottom