Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Mufindi,Mafinga,Mbeya ni Ulaya,Hata njombe pako njema sananjoo mufindi iringa mkuu utahisi uko ulaya maisha ni mazuri kama Japan vijijini wazungu wanapapenda sana
Njombe au Mbeya maeneo ya Tukuyu.Habari zenu wakuu
Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU
Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!
Karibuni wadau mtiririke
Singida pakame sana mkuu.......
Njombe au Mbeya maeneo ya Tukuyu.
Ila sijajua hospital ya level gani?
Kuna nin cha zaid kuleNenda Mlandizi, ipo siku utakuja kunishukuru hapa
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2539][emoji817][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Tanzania hakuna sehemu nzuri na salama zaidi ya Chato
Tupia picha mbili tatu kusapoti hao watoto mkuuNjoo Bukoba utapata kila kitu hata watoto wa kihaya ni wazuri na watamu pia utaenjoy
Hapo nmekupataNakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1.mbeya wilaya zote nzuri
2.iringa wilaya zote nzuri
3.morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4.ruvuma, wilaya zote
5.njombe wilaya zote
6.rukwa wilaya zote
Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.