Natafuta sehemu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla

Natafuta sehemu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla

chumachakavu

Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
55
Reaction score
103
Jamani Mwenye kufahamu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla plz naomba anifahamishe,nimefanya juhudi ya kutafuta lakini sikufanikiwa nikaona nije humu jf huwenda nikafanikiwa.

Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
 
keko kule nyuma wanapopasua magogo karibu na suma jkt, ukipita maegesho ya magari makubwa ya musas kipo kiwanda pale wanauza
 
Keko IPI mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
keko ukishuka upande wa kutokea taifa ndani ndani wanapotengeneza furniture mwisho kuna sehemu wanapasua magogo tu, mbele yake kuna geti la suma jkt
unafuata huo ukuta wake uelekeo wa kwenda sokota mbele kidogo kuna transformer kushoto kulia zinapaki gari za musa mbele yake kiwanda
 
Back
Top Bottom