chumachakavu
Member
- Oct 1, 2017
- 55
- 103
Ungempa habari zote kuhusu hicho kiwanda ungekuwa ushatatua tatizo moja kwa mojaSi inapatikana kiwandani utapata mzigo wa jumla
Ungempa habari zote kuhusu hicho kiwanda ungekuwa ushatatua tatizo moja kwa moja
Asante mkuukeko kule nyuma wanapopasua magogo karibu na suma jkt, ukipita maegesho ya magari makubwa ya musas kipo kiwanda pale wanauza
Sina uhakika sana ila kuna jamaa yangu huwa anauza mzigo wa jumla kwanzia mil 6Ungempa habari zote kuhusu hicho kiwanda ungekuwa ushatatua tatizo moja kwa moja
udesiSina uhakika sana ila kuna jamaa yangu huwa anauza mzigo wa jumla kwanzia mil 6
Keko IPI mkuukeko kule nyuma wanapopasua magogo karibu na suma jkt, ukipita maegesho ya magari makubwa ya musas kipo kiwanda pale wanauza
keko ukishuka upande wa kutokea taifa ndani ndani wanapotengeneza furniture mwisho kuna sehemu wanapasua magogo tu, mbele yake kuna geti la suma jkt