Natafuta sehemu ya kufanya field ya Marketing and Public Relations

sanga misuka

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
49
Reaction score
61
Mimi nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza nasoma Marketing and Public Relations, pia ni DIGITAL MARKETING SPECIALIST.

mambo ya masoko Mtandaoni, kusimamia na kuendesha accounts za mitandao ya kijamii ikiwamo Kutengeneza Matangazo, Contents, graphic design, matangazo ya kulipia, website, na mambo mengi sana.

Kwa mwenye connection ya kazi na field naombeni, pia nina CV yangu kuhusu Digital Marketing Specialist.
 
Umesoma marketing unataf8ta sehemu ya kufanya field? Si ukanunue bidhaa uanxe kutembeza mitaani ku market na kuuza na hiyo public relations itakusaidia sana kujenga uhusiano na wateja

Huyo supervisor nwambie utanikuta mitaani nafanya umachinga waulize hata machinations taarifa zangu
 
Kumbe unaweza kufanya hata hivyo, na vipi kama nafanya biashara mtandaoni... Na hata hivyo huyo supervisor ndo sina wala simjui
 
Umesoma marketing unataf8ta sehemu ya kufanya field? Si ukanunue bidhaa uanxe kutembeza mitaani ku market na kuuza na hiyo public relations itakusaidia sana kujenga uhusiano na wateja

Huyo supervisor nwambie utanikuta mitaani nafanya umachinga waulize hata machinations taarifa zangu
Persuasion and Networking skills nilisoma 1987 wakati najifunza kuhusu entrepreneurial competences, yaani sifa za mjasiriamali, I like breaking the ice yaani namna ya kuvunja barafu
 
Mimi nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza nasoma Marketing and Public Relations, pia ni DIGITAL MARKETING SPECIALIST.

mambo ya masoko Mtandaoni, kusimamia na kuendesha accounts za mitandao ya kijamii ikiwamo Kutengeneza Matangazo, Contents, graphic design, matangazo ya kulipia, website, na mambo mengi sana.

Kwa mwenye connection ya kazi na field naombeni, pia nina CV yangu kuhusu Digital Marketing Specialist.
Je kuvunja barafu unajua, do you know how to break the ice
 
Back
Top Bottom